i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpangowa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
ii. KutengenezanaKufaraghuazanazakufundishiana kujifunzia;
iii. Kufundisha,kufanyaTathmininakutunzakumbukumbuzaMaendeleoya Wanafunzi;
iv. KusimamianakufuatiliamahudhurioyawanafunziShulenina Darasani;
v. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;
vi. KutoaushauriwaKitaalamunakutaalumakuhusumaendeleoya Elimu;
vii. Kusimamianautunzajiwavifaanamaliza Shule;
viii. KazinyingineatakazopangwanaMkuuwaShulekulingananamajukumuya Shule
Kuajiriwa mwenye Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye somo la kufundishia la Home Economics isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo la kufundishia la Home Economics pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali.
No comments:
Post a Comment