Breaking

Showing posts with label Selection. Show all posts
Showing posts with label Selection. Show all posts

Friday, 5 December 2025

December 05, 2025

WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA FORM ONE 2026 - FORM ONE SELECTION 2026

Ofisi Ya Waziri Mkuu TAMISEMI Kidato cha Kwanza 2026 – Ratiba, Majina, na Jinsi ya Kuangalia Selection (IMETOLEWA 2026)

Form One Selection 2026

Uchaguzi wa Wanafunzi wa Kidato cha Kwanza 2026 (TAMISEMI Form One Selection 2026) sasa umetangazwa rasmi na Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI. Wazazi, walezi na wanafunzi kote nchini wanaweza sasa kukagua majina na shule walizopangiwa baada ya matokeo ya darasa la saba (NECTA PSLE).


⭐ Form One Selection 2026 – Tangazo Rasmi Limetoka

Baada ya kukamilika kwa tathmini ya ufaulu wa wanafunzi, nafasi za shule, usawa wa kijinsia na mahitaji maalum, TAMISEMI hatimaye imetoa majina ya wanafunzi waliopangiwa kuanza masomo ya Kidato cha Kwanza Januari 2026.


BONYEZA LINK HAPA KUPNA SELECTION ZA FORM ONE 2026



🔍 Jinsi ya Kuangalia Form One Selection 2026 (RASMI)

Fuata hatua zifuatazo ili kuangalia majina yako:

1️⃣ Tembelea tovuti ya TAMISEMI

➡️ www.tamisemi.go.tz

2️⃣ Bonyeza sehemu ya ‘Matangazo’

Utaona taarifa yenye kichwa “Uchaguzi wa Wanafunzi wa Kidato cha Kwanza 2026”.

BONYEZA LINK HAPA KUPNA SELECTION ZA FORM ONE 2026


3️⃣ Chagua Mkoa Wako

Orodha ya mikoa yote 26 itaonekana.

4️⃣ Chagua Halmashauri → Chagua Shule

Majina yatakuwa kwenye PDF za kila shule.

5️⃣ Tumia ‘Search’ kutafuta jina lako

Hii ni njia ya haraka zaidi.

6️⃣ Pakua PDF kwa matumizi ya baadae


🌐 Tovuti Zinazotumia Kutoa Form One Selection 2026

Kwa uhakika na usalama, tumia tovuti hizi:

Ikiwa tovuti za serikali zimejaa, jihudumieschool.com ni mbadala rafiki na mwepesi zaidi kufunguka.

BONYEZA LINK HAPA KUPNA SELECTION ZA FORM ONE 2026



TAMISEMI imetoa majina rasmi ya Form One Selection 2026. Endelea kufuatilia pia kupitia JIHUDUMIESCHOOL.COM kwa link za haraka na salama.

BONYEZA LINK HAPA KUPNA SELECTION ZA FORM ONE 2026

ANGALIA SHULE ZA SEKONDARI HAPA

Friday, 21 November 2025

November 21, 2025

WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDAO CHA KWANZA 2026

Ofisi Ya Waziri Mkuu TAMISEMI Kidato cha Kwanza 2026 – Ratiba, Majina, na Jinsi ya Kuangalia Selection (Updated 2026)

Uchaguzi wa Wanafunzi wa Kidato cha Kwanza 2026 (TAMISEMI Form One Selection 2026) ni moja ya taarifa zinazongojwa kwa hamu na wazazi, walezi na wanafunzi nchini Tanzania. Kila mwaka, baada ya matokeo ya darasa la saba (NECTA PSLE) kutoka, hufuata hatua muhimu ya kupanga wanafunzi katika shule za sekondari za serikali.

Kwa mwaka 2026, taarifa rasmi bado hazijatolewa, lakini maandalizi yanaendelea na tangazo linaweza kutoka wakati wowote. Kwa hiyo, huu ni muda muafaka kujua namna ya kukagua majina, tovuti sahihi za kuangalia, na nini cha kutarajia.


⭐ Form One Selection 2026 – Nini Kinaendelea Kwa Sasa?

NECTA imeshakamilisha mtihani wa PSLE 2025, na sasa Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI inapitia:

  • Ufaulu wa wanafunzi

  • Idadi ya nafasi katika shule za sekondari

  • Usawa wa kijinsia

  • Mahitaji maalumu ya wanafunzi wenye ulemavu

  • Uwiano wa kijamii na kijiografia

Baada ya uchambuzi kukamilika, majina ya wanafunzi watakaopangiwa Kidato cha Kwanza 2026 yatatangazwa rasmi kupitia tovuti za serikali na tovuti shirikishi.


🔍 Jinsi ya Kuangalia Form One Selection 2026 (Pindi Yatakapotangazwa)

Zifuatazo ni hatua rahisi na salama za kuangalia majina:

1️⃣ Tembelea tovuti ya TAMISEMI

➡️ www.tamisemi.go.tz

2️⃣ Fungua sehemu ya ‘Matangazo’

Hapa ndipo taarifa ya “Uchaguzi wa Wanafunzi wa Kidato cha Kwanza 2026” itawekwa.

3️⃣ Chagua Mkoa

Utakuona orodha ya mikoa yote 26.

4️⃣ Chagua Halmashauri → Chagua Shule

Hapa ndipo PDF za majina zitapatikana.

5️⃣ Tumia kipengele cha Search kutafuta jina

Ni njia ya haraka na isiyochosha.

6️⃣ Pakua PDF kwa matumizi ya baadaye


🌐 Tovuti Zinazotegemewa Kuweka Form One Selection 2026

Ili kuepuka taarifa zisizo rasmi, tumia tu tovuti za kuaminika. Majina yatakuwa yanapatikana kwenye:

Ikiwa unataka kupata majina haraka bila kupotea kwenye misongamano ya watembeleaji, jihudumieschool.com ni mojawapo ya tovuti rafiki na nyepesi kutumia.


Ingawa Form One Selection 2026 bado haijatangazwa, dalili zote zinaonyesha kuwa tangazo liko karibu. Kwa sasa, endelea kufuatilia tovuti rasmi pamoja na https://www.jihudumieschool.com ili kupata taarifa za uhakika mara tu majina yatakapowekwa hewani.

Tutaendelea kukupa taarifa mpya na link za moja kwa moja pindi tu selection itapotangazwa rasmi.


Friday, 6 June 2025

June 06, 2025

TAMISEMI Form Five Selection 2025/2026 | Waliochaguliwa kidato cha tan 2025

Comprehensive Guide to Checking Results and Understanding the Process

Every year, students and parents eagerly await the release of the TAMISEMI Form Five Selection list. The announcement of this list is a significant milestone in the Tanzanian education system, as it determines the future academic paths for thousands of students. The TAMISEMI (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) oversees this selection process, ensuring that students are placed in appropriate A-level schools and vocational colleges. In this blog post, we have provided the link to the selections. Click the link below to see the selection

OFISI YA RAIS - TAMISEMI

UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2025


BOFYA HAPA KUONA ORODHA YA WANAFUNZI WALIOPANGWA KWENDA SHULE MOJA


CHAGUA MKOA ULIKOSOMA

ARUSHADAR ES SALAAMDODOMA
GEITAIRINGAKAGERA
KATAVIKIGOMAKILIMANJARO
LINDIMANYARAMARA
MBEYAMOROGOROMTWARA
MWANZANJOMBEPWANI
RUKWARUVUMASHINYANGA
SIMIYUSINGIDASONGWE
TABORATANGA


GET MORE PAST PAPERS WITH MARKING SCHEMES HERE
Get hired here Vacancies
GET THE MARKING SCHEMES FROM THE GROUPS BELOW

Sunday, 2 June 2024

June 02, 2024

KUBADILISHA COMBINATION 2024



Baadhi ya wanafunzi waliopangiwa shule za advance mwishoni mwa mwezi wa tano, wanatamani kubadilisha michepuo na kujiunga michepuo mingine. Njia rahisi ya kubadilisha mchepuo kwende mchepuo mwingine ni kama ifuatavyo:-

  1. Ikiwa shule uliyopangiwa inamchepuo huo unaotaka kwenda na umetimiza vigezo na masharti ya mchepuo huo, kazi hiyo ni rahisi sana
  2. Ikiwa unatatizo la kiafya litakalosababbisha wewe kushindwa kwenda kwenye mkoa au shule uliyopangiwa hayo yanasikilizwa na mamlaka husika, fuata utaratibu uliowekwa kisha fanya mchakato wako mapema. ANGALIZO: Uthibitisho wa daktari kutoka hosipitali inayoaminika unaweza kuhitajika.
  3. Ikiwa unachangamoto zingine zozote muhimu, mamlaka husika zinaweza kukusikiliza kama utafuata utaratibu husika na kutafuta ushauri kwa watu wenye uzoefu na mambo hayo.
  4. Ikiwa utaamua kujiunga shule binafsi, hupangiwi combination (endapo tu umekithi vigezo na masharti ya combination unayotaka kusoma)

Haya yachukuliwe kama maoni yangu na sio taarifa rasmi za mamlaka

soma vigezo na masharti ya kila combination hapa chini

tembelea ukurasa halali wa TAMISEMI HAPA

Tahasusi na Vigezo.

A: Tahasusi za Sayansi ya Jamii

 Pakua Shule   Pakua Orodha

Na.MasomoVigezo
1.History, Geography and Kiswahili (HGK)Mwanafunzi awe amefaulu masomo yote kwa tahasusi husika
2.History, Geography and English Language (HGL)
3.History, Geography and French (HGF)
4.History, Kiswahili and English Language (HKL)
5.History, Geography and Arabic (HGAr)
6.History, Geography and Chinese (HGCh)
7.History, Geography and Economics (HGE)Awe amefaulu History na Geography
8.History, Geography and Fasihi ya Kiswahili (HGFa)Awe amefaulu History, Geography na Kiswahili/Fasihi ya Kiswahili
9.History, Geography and Literature in English (HGLi)Awe amefaulu History, Geography na English language/Literature in English
B: Tahasusi za Lugha