Showing posts with label mifumo ya matokeo. Show all posts
Showing posts with label mifumo ya matokeo. Show all posts

Monday, 5 January 2026

January 05, 2026

RESULTS SYSTEMS FROM PRIMARY TO ADVANCED LEVEL SCHOOLS

Welcome to the JihudumieSchool System Dashboard

We are excited to introduce a simplified way to access all our school management tools. Whether you are a Primary School teacher, a Secondary School academic master, or looking to generate exams instantly, everything is now just one click away.

Our new dashboard is designed to be mobile-friendly, allowing you to access these powerful tools from your smartphone, tablet, or computer with ease.

Available Services:
  • Primary Schools (Std I - VII)
  • O-Level (Form I - IV)
  • A-Level (Form V & VI)
  • Exam Generators

Chagua huduma / Select Service

Sunday, 26 October 2025

October 26, 2025

🧮 Chakata Matokeo kwa Ufanisi kwa Kutumia Mifumo ya JihudumieSchool.com — BUREEEE!


Kila mwisho wa muhula au mwaka wa masomo, changamoto kubwa kwa shule nyingi ni uchambuzi wa matokeo ya wanafunzi.
Lakini sasa, mambo yamekuwa rahisi zaidi! 🙌

Kupitia JihudumieSchool.com, unaweza kuchakata na kuchambua matokeo ya wanafunzi wako bila gharama yoyote — iwe uko online au offline.


🌐 Mifumo Inayopatikana

JihudumieSchool.com inatoa mifumo miwili yenye ufanisi kulingana na mazingira yako:

  • 💻 Mfumo wa Online: Tumia moja kwa moja kupitia tovuti bila kujisumbua na usakinishaji (installation).

  • 🖥️ Mfumo wa Offline: Unafanya kazi bila intaneti — bora kwa shule zenye changamoto za mtandao.


📊 Faida Kuu za Mifumo ya JihudumieSchool.com

Kwa kutumia mifumo hii, unaweza kupata uchambuzi kamili wa matokeo kwa urahisi na haraka. Baadhi ya taarifa unazoweza kupata ni:

  • 📈 Uchambuzi wa ufaulu kwa divisheni (wavulana na wasichana)

  • 🏅 Orodha ya Best 10 na Last 10 candidates kwa darasa au shule

  • 📚 Uchanganuzi wa ufaulu wa kila somo (kubaini masomo yenye changamoto au mafanikio zaidi)

  • 🧾 Ripoti zenye muonekano wa kitaalamu, zinazoweza kuchapishwa au kushirikiwa kwa urahisi

  • Usahihi wa haraka — mfumo unakupa matokeo ya takwimu ndani ya sekunde chache!


🧠 Kwa Nini Utumie JihudumieSchool.com?

  • Ni bure kabisa (bila ripoti) — hakuna ada ya usajili wala matumizi.

  • Inarahisisha kazi za walimu, wakuu wa shule, na maafisa elimu.

  • Inaokoa muda, inapunguza makosa, na inaongeza ufanisi katika uchambuzi wa matokeo.

  • Inapatikana wakati wowote, mahali popote.


🚀 Anza Sasa!

Usikose fursa hii ya kuboresha mfumo wa uchambuzi wa matokeo katika shule yako.
Tembelea tovuti rasmi:
👉 www.jihudumieschool.com

Fanya uchambuzi wa matokeo kwa ufanisi, kwa haraka, na kwa usahihi — bureeee! 🎉

Mifumo Mingine tuliyonayo

PAKUA MFUMO HAPA | DOWNLOAD THE TEMPLATE HERE

🧩 Mifumo Mingine Tunayo

Pamoja na huduma zilizoelezwa awali, tunatoa mifumo mbalimbali inayokidhi mahitaji tofauti ya shule, taasisi na biashara.

  • 💳 Mfumo wa Ukusanyaji wa Ada & Malipo — usimamizi wa ada, risiti za malipo, malipo ya online na offline, na taarifa za fedha kwa urahisi.
  • 🏫 Mifumo mipya ya Shule za Amali & Vyuo vya Ufundi — enrollments, modules, timetable za mazoezi, na tracking ya maendeleo ya wanafunzi wa vitendo.
  • 🧩 Mifumo ya Shule Nyingi (Multi-school) — inafaa kwa mock exams, joint exams, Pre-NECTA na mipango ya usimamizi wa shule nyingi chini ya mfumo mmoja.
  • 📚 Mfumo wa Ufuatiliaji wa Ufundishaji (Teaching Tracker)online ambapo kila mwalimu anaweza ku-update taarifa za masomo, na habari inafika AEK/AE au mamlaka husika kwa wakati.
  • 📦 Mifumo ya Biashara (Stock Control / CMS) — usimamizi wa bidhaa, hesabu za stock, na CMS ya bidhaa/ huduma kwa ajili ya maduka ya shule au vyuo.
  • 🔧 Na mengi zaidi... — tunaweza kubuni au kubadilisha mfumo kulingana na mahitaji yako maalum.

Monday, 19 May 2025

May 19, 2025

🌟 UNATAFUTA MFUMO WA MATOKEO? 🌟

Tunauza mifumo bora ya matokeo kwa kutumia Microsoft Excel kwa bei nafuu kabisa! 💰
✔️ Rahisi kutumia
✔️ Inahesabu madaraja kiotomatiki
✔️ Inatoa ripoti za mwanafunzi kwa haraka

🎯 Tunatoa usaidizi wa 100% kwa wateja wetu wote – kuhakikisha unatumia mfumo kwa ufanisi na bila usumbufu.

📞 Wasiliana nasi sasa kupitia:
📱 WhatsApp/Simu/SMS: 0682744740

Jiunge na mamia ya walimu na shule wanaotumia mifumo yetu kurahisisha kazi zao za kitaaluma! 🏫📊


ANGALIA MIFUMO YETU HAPA FREE DOWNLOAD


GET MORE PAST PAPERS WITH MARKING SCHEMES HERE
Get hired here Vacancies
GET THE MARKING SCHEMES FROM THE GROUPS BELOW

Sunday, 9 March 2025

March 09, 2025

MIFUMO YA MATOKEO YA SHULE SHULE NYINGI KAMA MOCK | JOINT

Mifumo ya matokeo ya shule moja au zaidi ni muhimu sana, hasa kwa kurahisisha mchakato wa kukusanya, kuchakata, na kutoa matokeo ya wanafunzi. Kwa kutumia mifumo kama hii, shule zinaweza kuongeza ufanisi na kuhakikisha kuwa matokeo yanapatikana kwa haraka na kwa usahihi. Hapa kuna baadhi ya faida za mifumo kama hii:


  1. Urahisi wa Matumizi: Kama, mifumo hii inaweza kutumika na watu wenye ujuzi wa kidijitali na hata wale wasio na ujuzi huo. Kazi kubwa ni kujaza majina ya wanafunzi na alama zao, na mfumo huchakata na kutoa matokeo kiotomatiki.

  2. Ushirikiano wa Waalimu: Waalimu wanaweza kujaza matokeo kwa njia ya mtandaoni kupitia link maalum. Hii inarahisisha mchakato wa kukusanya data kutoka kwa waalimu mbalimbali bila kuhitaji mkutano yakijiografia.

  3. Ufanisi na Haraka: Mfumo wa kidijitali huhakikisha kuwa matokeo yanachakatwa na kutolewa kwa haraka zaidi kuliko mifumo ya kawaida ya kwenye karatasi au unaofanywa na mtu mmoja mahali fulani. Hii inaweza kuokoa muda mwingi na kufanya kazi iwe rahisi kwa waalimu na wataalamu wa shule.

  4. Usahihi wa Matokeo: Kwa kutumia mifumo ya kidijitali, kuna uwezekano mdogo wa makosa ya kibinadamu kama vile kusahau majina ya wanafunzi au kuchanganya alama au kutoa matokeo ya wanafunzi ambao hawakufanya mtihani au matokeo ya mmoja kupewa mwingine,n.k.

  5. Uhifadhi wa Data: Mifumo ya kidijitali inaweza kuhifadhi data kwa muda mrefu na kurahisisha upatikanaji wa taarifa za nyuma kwa ajili ya uchambuzi au kumbukumbu.

  6. Uwezo wa Kuchambua Data: Mifumo ina uwezo wa kuchambua data na kutoa ripoti za kina kuhusu utendaji wa wanafunzi, shule, n.k. Hii inaweza kusaidia shule/mamlaka kufanya maamuzi sahihi zaidi kuhusu uboreshaji wa elimu.

Kwa ujumla, mifumo kama hii inaweza kuwa msaada mkubwa kwa shule/mamlaka zinazotafuta kuongeza ufanisi na usahihi katika utoaji wa matokeo. Ni muhimu kuhakikisha kuwa mfumo unachaguliwa kwa kuzingatia mahitaji ya shule/mamlaka na kuwa na msaada wa kimsingi kwa watumiaji ili kuhakikisha kuwa wote wanaweza kutumia mfumo kwa urahisi.

PAKUA MFUMO WA SHULE MOJA MOJA HAPA CHINI

JIPATIE MFUMO WA SHULE NYINGI HAPA



GET MORE PAST PAPERS WITH MARKING SCHEMES HERE
Get hired here Vacancies
GET THE MARKING SCHEMES FROM THE GROUPS BELOW