Breaking

Showing posts with label MATOKEO NA RIPOTI. Show all posts
Showing posts with label MATOKEO NA RIPOTI. Show all posts

Friday, 24 October 2025

October 24, 2025

MATOKEO DARASA LA SABA 2025 HAYA HAPA

Wanafunzi wa darasa la saba nchini Tanzania wamefanya mitihani yao ya taifa (PSLE) mwezi Septemba 2025, chini ya usimamizi wa Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA). Sasa wazazi, walimu na wanafunzi wengi wanajiuliza — matokeo yatatoka lini?

Kwa kawaida, matokeo ya darasa la saba hutangazwa kati ya wiki 6 hadi 8 baada ya mtihani kumalizika, hivyo kwa mwaka huu 2025 yanatarajiwa kutoka kati ya mwishoni mwa Oktoba hadi katikati ya Novemba 2025.

🔹 Jinsi ya Kuangalia Matokeo

Matokeo yatakapokuwa yametangazwa, unaweza kuyapata kwa urahisi kupitia:

  1. 🌐 Tovuti rasmi ya NECTA: https://www.necta.go.tz

  2. 📱 Kupitia tovuti yetu: https://www.jihudumieschool.com – tutakuwekea link ya moja kwa moja ya matokeo mara tu yatakapotoka.

  3. 💬 Kwa baadhi ya shule, matokeo pia huwekwa kwenye mbao za matangazo au tovuti za shule husika.

🔹 Mambo ya Kukumbuka

  • Hakikisha unajua namba ya mtihani (Candidate Number) ya mwanafunzi.

  • Matokeo yanaonyesha alama za kila somo, pamoja na nafasi ya ufaulu (A, B, C, D, E).

  • Wale watakaofaulu watapangiwa shule za sekondari za serikali, na majina yao yatatolewa kwenye orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2026.

📢 Usikose Taarifa Mpya!

Endelea kufuatilia JIHUDUMIESCHOOL.COM kwa taarifa sahihi na za haraka kuhusu:

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2025

  • Orodha ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2026

  • Ratiba mpya za masomo na mitihani

  • Past Papers and notes za kila somo kuanzia primary hadi secondary, etc


🗓️ Kumbuka: Tutakupa link rasmi ya matokeo mara tu NECTA watakapotangaza rasmi.
📍Tembelea kila siku: www.jihudumieschool.com



Sunday, 19 May 2024

May 19, 2024

PATA MATOKEO NA RIPOTI ZA WANAFUNZI WAKO

Blinking Text

 


TUPIGIE: 0682744740 AU 0621842525
TUNACHAKATA MATOKEO NA RIPOTI KWA MADARASA YOTE!
KUANZIA CHEKECHEA HADI ADVANCED LEVEL!

BEI ZINATEGEMEA IDADI YA WANAFUNZI KATIKA SHULE.

WASILIANA NASI MAPEMA KUPATA RIPOTI NA MATOKEO MAPEMA!

PIA TUNAUZA MIFUMO YA MATOKEO NA RIPOTI KWA BEI NAFUU SANA!

MAHITAJI KWA RIPOTI NA MATOKEO

  1. TUMA MAJINA YA WANAFUNZI, KILA DARASA (TENGANISHA, MF. F1, F2, ...)
  2. TUMA CONTINUOUS ASSESSMENTS ZA WANAFUNZI WAKO
  3. TUMA MAKSI ZA TERMINAL EXAMINATION
  4. TUMA GREDI ZA BEHAVIOUR EVALUATION KAMA ZIPO, KAMA HAZIPO (WANAFUNZI WOTE WATAWEKEWA GREDI B)
  5. MAJINA NA WAALIMU

  • MWALIMU WA DARASA
  • MTAALUMA
  • MKUU WA SHULE

MAONI YA KILA MWALIMU YATAANDIKWA KULINGANA NA UFAULU WA MWANAFUNZI,

MWISHO;

RIPOTI ZETU ZINAWEZA KUHARIRIWA (EDITTING) 

TUPIGIE: 0682744740 AU 0621842525