Breaking

Sunday, 19 October 2025

NAFASI ZA KAZI | MWALIMU DARAJA LA III B - SOMO LA LISHE (FOOD AND HUMAN NUTRITION) | 14 Positions

MWAJIRI: MDAs & LGAs
14 Positions
Application Period
18/10/2025 - 01/11/2025
Duties and Responsibilities

          i.    Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomona Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;

        ii.    Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;

       iii.    Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za  Maendeleo ya Wanafunzi;

       iv.    Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;

    v.        Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa  ushauri nasaha na unasihi;

       vi.    Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;

      vii.    Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na

 viii.        Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.

Qualifications

Kuajiriwa mwenye cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita ambaye amefaulu masomo mawili au zaidi yanayofundishwa shuleni na kufaulu mafunzo ya Stashahada ya Ualimu ya miaka miwili (2) yenye somo la kufundishia la “Home Economis” kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali.




No comments:

Post a Comment