OFISI YA RAIS - TAMISEMI
UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025
BOFYA HAPA KUONA ORODHA YA WANAFUNZI WALIOPANGWA KWENDA SHULE MOJA
CHAGUA MKOA ULIKOSOMA
|
Kila mwishoni mwa mwaka, mara baada ya matokeo ya mtihani wa darasa la saba kutangazwa, NECTA kwa kushirikiana na TAMISEMI huendesha mchakato wa kuchagua wanafunzi watakaojiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka 2025. Mchakato huu unazingatia ufaulu wa wanafunzi kwenye mtihani wa kumaliza elimu ya msingi (PSLE) na nafasi zilizopo katika shule za sekondari za serikali. Wanafunzi waliofaulu vizuri hupangiwa shule kulingana na alama walizopata, huku NECTA na TAMISEMI wakihakikisha kila mwanafunzi aliyefaulu anapata nafasi ya kuendelea na masomo.
1. Mchakato wa Uchaguzi wa Kidato cha Kwanza na Vigezo Vilivyotumika
Uchaguzi wa wanafunzi kujiunga na kidato cha kwanza 2025 umezingatia kigezo cha ufaulu wa mtihani wa PSLE wa mwaka 2024.
2. Jinsi ya Kuangalia Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa
Ili kujua shule aliyopangiwa mwanafunzi selection itakapotangazwa na serikali
- Tembelea tovuti ya TAMISEMI: www.tamisemi.go.tz.
- Tafuta sehemu ya ‘Matangazo’: Bofya kiungo cha "UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025."
- Chagua mkoa wako: Orodha ya mikoa yote itaonekana, chagua mkoa husika.
- Chagua Halmashauri na shule: Fuata hatua hizi hadi upate shule aliyofanyia mtihani.
- Tafuta jina la mwanafunzi: Tumia kipengele cha ‘search’ ili kutafuta jina haraka.
- Pakua PDF: Hifadhi orodha hiyo kwa matumizi ya baadaye.
3. Orodha ya Majina ya Wanafunzi Kimkoa
Baada ya TAMISEMI kutangaza majina, orodha kamili imepangwa kwa mikoa na inapatikana kwenye tovuti rasmi. Wazazi na walezi wanaweza kupakua majina kwa kubofya kiungo cha mkoa husika.
Kwa maelezo zaidi na maboresho ya utaratibu, tembelea tovuti ya TAMISEMI mara kwa mara ili kuwa na taarifa sahihi na za kisasa.
GET MORE PAST PAPERS WITH MARKING SCHEMES HERE
Get hired here Vacancies
GET THE MARKING SCHEMES FROM THE GROUPS BELOW
No comments:
Post a Comment