Mfumo wetu wa kisasa wa uchakataji wa matokeo umeundwa mahsusi kuwasaidia
👨🏫 Walimu | 🏢 Halmashauri | 🤝 Ushirika | 🌍 Mikoa | 🗺️ Kanda
kuchakata na kuchambua matokeo ya shule nyingi kwa haraka, usahihi na ufanisi mkubwa.
🚀 Kwa kutumia mfumo huu, unaweza kuchakata matokeo ya shule zaidi ya 1,000 kwa siku moja tu, bila kupoteza ubora wa takwimu.
⏱️ Pia, mfumo una uwezo wa kuchakata mitihani ya shule nyingi kwa muda mfupi sana na kwa usalama wa hali ya juu.
Mfumo una one click backup ambao utakusaidia kutunza kumbukumbu hata computer yako ikipata shida.
Unaweza ku-upload shule moja kwa moja kutoka kwenye Excel file
Una-restrict shule A kujazwa matokeo ya shule B (data validation)
❓ Tuulize maswali ili ujue:
-
Mfumo wetu unatoa nini
-
Faida utakazopata
-
Nini cha kutarajia unapofanya kazi nasi
✨ KWA UFUPI, MFUMO WETU:
📄 1. Results Sheet Moja
Unatoa matokeo ya shule nyingi kwenye results sheet moja kwa urahisi mkubwa.
🏫 2. Matokeo ya Kila Shule
Unapata matokeo ya kila shule mmoja mmoja kwa ufanisi wa hali ya juu
(tazama mfano wa picha hapa chini).
📚 3. Tathmini ya Masomo
Unatoa tathmini ya kila somo kwa ujumla kwa uchambuzi wa kitaalamu.
📝 4. Ripoti za Mitihani
Unazalisha ripoti za mitihani kwa ngazi ya shule
(Mock, Joint, Pre-Mock, n.k.).
🏆 5. School Ranking
Unatoa mpangilio wa shule (ranking) wenye uchambuzi wa kina zaidi.
📈 6. Ulinganishaji wa Mitihani
Unaruhusu kulinganisha mitihani zaidi ya miwili
(Mock, Joint, Pre-Mock, Pre-NECTA n.k.) ili kuona mwelekeo wa maendeleo ya shule kwa muda.
🔍 Haya ni maelezo ya ufupi tu.
Mfumo wetu una vipengele vingi zaidi vya kiuchambuzi na ubunifu vitakavyokupa uzoefu wa kisasa, wa kuaminika na wa kuridhisha.
📊💡
Tupo tayari kushirikiana nawe kwa maendeleo ya elimu kupitia takwimu sahihi na teknolojia ya kisasa.



No comments:
Post a Comment