Sunday, 8 February 2026

NEW LESSON PLANS 2026 | MASOMO YOTE MTAALA WA ZAMANI

OKOA MUDA: Tengeneza Andalio la Somo (Lesson Plan) la Mtaala Wa Zamani kwa Sekunde Chache!

Offa Kwa yeyote atakayeweza ku-share website yetu kwa makundi zaidi ya matano atapata OFFA YA LESSON PLANS 10 KWA MWEZI.

SHARE SASA NA UTUTUMIE USHAHIDI WHATSAPP tukupe lesson plans 10 kwa mwezi.

Je, umechoka kutumia saa nyingi kuandika Maandalio ya Somo (Lesson Plans) kwa mkono? Je, ungependa kuwa na mfumo unaokurahisishia kazi na kukupa andalio lenye ubora wa hali ya juu na linalofuata miongozo ya hivi karibuni ya TIE (Taasisi ya Elimu Tanzania)?

LESSON PLAN MAKER - KITENGENEZA LESSON PLANS BONYEZA HAPA

Tunawaletea JIHUDUMIESCHOOL Lesson Plan Maker– suluhisho pekee na la uhakika kwa mwalimu wa kisasa nchini Tanzania.



Kwa nini utumie Mfumo wa JIHUDUMIESCHOOL?

Mfumo wetu haukusaidii tu kuokoa muda, bali umeundwa kitaalamu ili kuendana na mahitaji yako ya kila siku darasani:

  • 🚀 Kasi ya Ajabu: Tengeneza andalio kamili la somo ndani ya sekunde chache badala ya saa nzima.

  • 📖 Mtaala Mpya wa Tanzania: Maandilio yote yanafuata muundo wa Competence-Based Curriculum kama inavyoelekezwa na NECTA na TIE.

  • 🌍 Lugha Mbili (Bilingual): Mfumo unasupport masomo ya Kiingereza na yale yanayofundishwa kwa Kiswahili kwa usahihi wa hali ya juu.

  • 📄 Instant PDF Printing: Ukishatengeneza, unadownload andalio lako likiwa tayari kwa ku-print na kusainiwa na Mkuu wako wa Taaluma.

  • 📱 Mobile Friendly: Unaweza kutumia simu yako ya mkononi popote pale (staffroom au nyumbani) na fields zote zinajipanga vizuri kwa ajili ya simu.

  • 🔒 Smart Locking: Ukishajisajili, jina lako, shule yako, na somo lako vitajijaza vyenyewe kila unapoingia ili kukuokoa na usumbufu wa kuandika upya kila mara.


Jinsi ya Kutumia Mfumo (Hatua kwa Hatua)

Ni rahisi sana kuanza:

  1. Jisajili (Register): Ingia kwenye tovuti yetu ya jihudumieschool.com na utengeneze akaunti. Weka Jina lako la Ualimu, Shule, na Somo unalofundisha.

  2. Login: Ingia kwa kutumia Username na Password yako. Kama utasahau password yako wasiliana na admin ku-reset.

  3. Jaza Maelezo ya Kipindi: Chagua Tarehe, Darasa, Muda, na Idadi ya wanafunzi waliopo (Reg & Pres).

  4. Chagua Mada: Ingiza Topic na Sub-topic (Main Activity & Specific Activity) unayotaka kufundisha.

  5. Generate: Bonyeza kitufe cha GENERATE PLAN na mfumo utakuandalia andalio lako kamili.

  6. Print: Bonyeza PRINT PDF na kazi yako itakuwa tayari kwa matumizi.




Gharama na Upatikanaji

Tunajua ualimu ni wito, hivyo tumeweka gharama ambazo mwalimu yeyote anaweza kuzimudu:

  • 🎁 Free Trial: Kila mtumiaji mpya anapata maandalio 3 ya BURE pindi tu anapojisajili!

  • 💰 Basic Plan: Unaweza kununua andalio moja kwa 100/- tu (kiwango cha chini ni maandalio 8 kwa 800/-).

  • 📅 Monthly Plan: Jipatie uwezo wa kutengeneza maandalio hadi 30 kwa mwezi kwa 2,500/- tu.

  • ⭐ Premium Yearly: Tengeneza maandalio UNLIMITED kwa mwaka mzima kwa 16,000/- tu. masomo yote.



Ofa ya Referral: Pata Maandalio ya BURE!

Waalike walimu wenzako! Mwalimu uliyemualika akilipia kifurushi chochote, wewe utapata NUSU ya idadi ya maandalio aliyonunua bure kabisa kwenye akaunti yako!

Offa Kwa yeyote atakayeweza ku-share website yetu kwa makundi zaidi ya matano atapata OFFA YA LESSON PLANS 10 KWA MWEZI.

SHARE SASA NA UTUTUMIE USHAHIDI WHATSAPP tukupe lesson plans 10 kwa mwezi.

Usisubiri! Fanya kazi zako kitaalamu na uwe na muda mwingi wa kufuatilia wanafunzi wako, kufanya tathmini au hata mapumziko na familia yako.

👉 Tembelea sasa: jihudumieschool.com

LESSON PLAN MAKER - KITENGENEZA LESSON PLANS BONYEZA HAPA

KUMBUKA UNAWEZA KUPATA LESSON PLANS BUUUURE KABISA - JUST SHARE SEND US EVIDENCE


JIHUDUMIESCHOOL: Elimu Rahisi, Matokeo Bora.

GET MORE PAST PAPERS WITH MARKING SCHEMES HERE

Get hired here Vacancies

GET THE MARKING SCHEMES FROM THE GROUPS BELOW

  

No comments:

Post a Comment