Breaking

Sunday, 21 July 2024

VIDEO : JINSI YA KUOMBA AJIRA KUPITIA AJIRA PORTAL





Mfumo wa ajira wa serikali unapokea maombi mbalimblai kila siku kwa nafasi zinazotangazwa nasekretarieti ya ajira utumishi na utawala bora

Ifuatayo ni namn ya kutazama matangazo na kuomba ajira zinazotangazwa na sekretarieti husika


2. Bonyeza RECRUITMENT PORTAL
3. Bonyeza VACANCIES

4. Chagua Tangazo la ajira unayotaka kuomba kisha bonyeza Login to Apply iliyoko kulia au chini ya tangazo.
5. Kama una-account (umejisajili) Ingiza Email na Password yako kutuma maombi.

KWA ALIYEJISAJILI KABLA ISHIA HAPA


KAMA HUKUJISAJILI KABLA ENDELEA KUSOMA 

6. Ikiwa huna account (hujajisajili) Bonyeza "REGISTER"


7. Jaza taarifa zako vema (Email ambayo unakumbuka password yake), Jaza Password (neno la siri utakalokumbuka kwa urahisi lakini lisiloweza kufikirika kwa urahisi na mtu mwingine)

Utapata Ujumbe ufuatao hapa chini

Registration Success

You have successfully registered with Recruitment Portal. An email has been sent to you with instructions on how to activate your account.

Please check your email and follow the instructions in order to start using your account.

Thanks"


8. Ingia kwenye email yako kishwa fuata maelekezo yaliyotumwa huko


9. Baada ya hayo Bonyeza Login to Apply

No comments:

Post a Comment