Kiswahili NECTA Past Papers
Somo la Kiswahili ni msingi kwa wanafunzi wote wa kidato cha tano na sita. Huwasaidia kuelewa lugha, fasihi na utamaduni wetu, na huwajengea uwezo wa kuchambua maandiko kwa kina.
Hapa unaweza kupakua mitihani ya nyuma ya NECTA kuanzia 2025 na chini pamoja na majibu yake. Mitihani hii inawasaidia kufanya marudio na kuzoea mitindo ya maswali.
Pakua Mitihani
Chagua kitufe cha kupakua PAPER 1 au PAPER 2.
Kumbuka: PAPER 1 hujikita kwenye fasihi, na PAPER 2 kwenye lugha (sarufi, insha, n.k.).
📘 Mada za PAPER 1 (Fasihi)
- Riwaya
- Tamthilia
- Ushairi
- Fasihi Simulizi
- Tafsiri ya maandiko
📗 Mada za PAPER 2 (Lugha)
- Insha
- Sarufi
- Matumizi ya lugha
- Ufahamu
- Isimu
No comments:
Post a Comment