Historia ya Tanzania na Maadili – Kitabu cha Mwanafunzi Kidato cha Pili
Subjects: Historia ya Tanzania na Maadili
Mwaka: 2024
Mwandishi: TIE
Mchapishaji: Tanzania Institute of Education (TIE)
Lugha: Kiswahili
Nchi Chanzo: Tanzania
Kiwango cha Elimu: Sekondari ya Kawaida
Darasa: Kidato cha Pili
Kitabu hiki cha Historia ya Tanzania na Maadili, Shule za Sekondari, kimeandikwa mahususi kwa ajili ya wanafunzi wa Kidato cha pili katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kitabu hiki kimeandaliwa kulingana na Muhtasari wa Somo la Historia ya Tanzania na Maadili uliotolewa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia mwaka 2023.
No comments:
Post a Comment