Breaking

Sunday, 26 May 2024

NAFASI ZA KAZI: WALIMU WA KUJITOLEA KAGERA | TANEDI MAY 2024

 


NAFASI ZA KAZI: WALIMU WA KUJITOLEA KAGERA


Taasisi ya TANZANIA EDUCATION DEVELOPMENT INITIATIVE (TANEDI) inawatangazia wahitimu wote wa vyuo vikuu na vyuo vya Ualimu;


1. Nafasi za kujitolea kufundisha Masomo ya Sayansi, Hisabati, Kompyuta (ICT) na Kiingereza katika shule za Sekondari mkoani Kagera. 

2. Mwombaji awe tayari kufanya kazi shule yoyote atakayopangiwa kwa moyo wa kusaidia wanafunzi.

3. Malipo ya posho za kujitolea ni Tsh. 300,000 kwa mwezi bila makato. 

4. Taasisi itatoa nauli ya kwenda kwenye kituo cha kazi

5. Mwombaji asiwe na ajira ya serikali

6. Mwombaji ajaze form iliyoambatanishwa kwenye link hii JAZA FOMU HAPA

Mwisho wa kutuma maombi ni Juni 14, 2024 saa 05:59 Usiku.

Imetolewa na,

Katibu Mtendaji TANEDI.

Simu: +255 684 553 674 na +255 717 866 694 



Care should be taken when applying for jobs. Do not send money to be shortlisted for an interview or to be offered a job. Legitimate companies and institutions do not ask for money from their applicants. If you encounter such requests, consider them scams and report them to the nearest police station.

No comments:

Post a Comment