FORM TWO SCHEMES OF WORK 2027 – NEW CURRICULUM | ALL SUBJECTS
Form Two ni mwanzo wa safari ya elimu ya sekondari. Mpango mzuri wa kazi humsaidia mwalimu kugawa mada kwa wiki, kupanga shughuli za ujifunzaji na kuandaa tathmini kuanzia mwanzo wa mwaka.
Editable Word (DOCX) • Term One & Term Two • Masomo 11Download Scheme of Work 2027 – Form 2
Chagua somo kisha bonyeza DOWNLOAD NOW kupakua Scheme of Work ya mwaka 2027. Kila faili lina sehemu za wiki, mada, matokeo tarajiwa ya ujifunzaji, shughuli za kufundisha, vifaa, tathmini na maoni ya mwalimu.
Faida za Scheme of Works hizi
Inarahisisha kupanga vipindi na mada, kubaini vifaa vya kufundishia, kuandaa tathmini endelevu na kufuatilia utekelezaji wa kazi kwa kipindi chote cha mwaka. Pia inaweza kuchapishwa baada ya kuhariri taarifa za shule.
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ)
Je, Schemes of Work hizi zinaweza kuhaririwa?
Je, hizi ni nyaraka rasmi za TIE?
Je, zina Term One na Term Two?
Rejea ya mihtasari: Tanzania Institute of Education – Lower Secondary Syllabuses.

No comments:
Post a Comment