LightBlog

Breaking

Tuesday, 3 November 2026

FORM ONE SCHEMES OF WORK 2027 – NEW CURRICULUM | ALL SUBJECTS

2027 • SECONDARY SCHOOL • TANZANIA

FORM ONE SCHEMES OF WORK 2027 – NEW CURRICULUM | ALL SUBJECTS

Form One ni mwanzo wa safari ya elimu ya sekondari. Mpango mzuri wa kazi humsaidia mwalimu kugawa mada kwa wiki, kupanga shughuli za ujifunzaji na kuandaa tathmini kuanzia mwanzo wa mwaka.

Editable Word (DOCX) • Term One & Term Two • Masomo 11

Download Scheme of Work 2027 – Form 1

Chagua somo kisha bonyeza DOWNLOAD NOW kupakua Scheme of Work ya mwaka 2027. Kila faili lina sehemu za wiki, mada, matokeo tarajiwa ya ujifunzaji, shughuli za kufundisha, vifaa, tathmini na maoni ya mwalimu.

Business StudiesDOWNLOAD NOW
ChemistryDOWNLOAD NOW
Historia Ya Tanzania Na MaadiliDOWNLOAD NOW
English LanguageDOWNLOAD NOW
GeographyDOWNLOAD NOW
Computer ScienceDOWNLOAD NOW
KiswahiliDOWNLOAD NOW
MathematicsDOWNLOAD NOW
Maelekezo kwa mwalimu: Kumbuka: Literature in English imeachwa kwa Form One na Two kwa sababu muhtasari uliopo wa TIE ni wa Form III–IV. Civics ni nyenzo ya ziada/urithi; hakikisha kama linahusika na darasa lako. Linganisha mpangilio wa mada na muhtasari wa TIE na kalenda halisi ya shule. Hizi si Scheme of Works zilizotolewa rasmi na TIE.

Baadhi ya scheme hizi zitahitaji editing kidogo, ili kumfaa mtumiaji. Kumbuka scheme of work ni mwongozo wa mwalimu husika, hivyo ni muhimu kila mwalimu akajiridhisha na mpangilio wa scheme of work atakayopakua.
Hakiki vitu vifuatavyo:-
1. Contents za scheme of work
2. School year calender iliyotolewa na wizara ya elimu pamoja na TAMISEMI
3. Vitabu vya rejea (reference book) vilivyowekwa
4. Scheme of work hizi HAZIUZWI

Faida za Scheme of Works hizi

Inarahisisha kupanga vipindi na mada, kubaini vifaa vya kufundishia, kuandaa tathmini endelevu na kufuatilia utekelezaji wa kazi kwa kipindi chote cha mwaka. Pia inaweza kuchapishwa baada ya kuhariri taarifa za shule.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ)

Je, Schemes of Work hizi zinaweza kuhaririwa?

Ndiyo. Mafaili ni ya Microsoft Word (DOCX), unaweza kubadilisha jina la shule, mwalimu, mada, wiki, tarehe na tathmini.

Je, hizi ni nyaraka rasmi za TIE?

Hapana. Ni rasimu za kupanga ufundishaji zinazohitaji kuthibitishwa kwa muhtasari rasmi wa TIE na ratiba ya shule.

Je, zina Term One na Term Two?

Ndiyo. Kila somo limegawanywa kwa mihula miwili na lina mpangilio wa wiki, mada, shughuli za ufundishaji na tathmini.

Rejea ya mihtasari: Tanzania Institute of Education – Lower Secondary Syllabuses.

KWA MADARASA MENGINE BONYEZA HAPA - HAKIKISHA UNATUMIA JIHUDUMIESCHOOL ANDROID APP

No comments:

Post a Comment