Pushbullet ni software itakayokuwezesha kutuma sms nyingi kwa wateja wako au ripoti za wanafunzi kwenda kwa wazazi/walezi. Unachohitaji ni vitu 6 tu!
1. Simu ya android
2. Token za Pushbullet (ni bure)
3. Device ID ya simu yako (ni bure)
4. Bando la sms (unga kifurushi cha kawaida)
5. Komputa (computer) ya yenye MS Windows 7 au zaidi
6. Template ya MS Excel ambayo imeunganishwa na pushbullet.
Template hii ninayo na naiuza sh 5,000 tu (elfu tano tu!) Ukinunua template kwangu nakuunganishia pushbullet moja kwa moja kwa simu yako.
Hatua za awali za kuunganisha pushullet na simu
Download pushbullet kwenye simu na computer yako
Kwa simu za android BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PUSHBULET
Kwa computer za windows BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PUSHBULLET
Kwenye ukurasa huu, chagua device yako kwa kufuata alama husika. Kama ni android BONYEZA android, kama ni windows bonyeza windows, kama utaamua kutumia browser kwenye pc jako basi changua browser.
ANGALIZO!
A. pushbullet inatuma sms 100 (mia moja) bure kwa kila mwezi. ikiwa utatuma sms zaidi ya mia utahitaji pro version ambayo pia nakusaidia kuipata kwa sh 10,000 kwa mwezi.
B. Hii 10,000 tutanunulia LICENCE ya mwezi mmoja itakayotumia kwenye account yako
C. Kwa pro version UTAWEZA kutuma sms bila kikomo (zingatia bando lako)
D. Namba yako ya simu Indio itaonekana kama namba ya MTUMAJI
Ikiwa ungehitaji kujua zaidi TUPIGIE SIMU TUKUELEKEZE BURE KABISA. BONYEZA HAPA: NAMBA ZA SIMU ZIKO HAPA
KWA MASWALI, NA MANUNUZI YOTE AU CHOCHOTE UNGEPENDA KUJUA KUHUSU KUTUMA SMS KWA WATEJA/WAZAZI/WALEZI TUPIGIE SIMU
SIMU: 0682744740
No comments:
Post a Comment