LightBlog

Breaking

NEW SYLLABUS FOR 2027

JIHUDUMIESCHOOL.COM   /   TIE SYLLABI

NEW CURRICULUM
O-LEVEL SYLLABI

Mihtasari rasmi ya masomo ya Sekondari ya Chini (Form One–Four) kwa mtaala ulioboreshwa wa 2023, kutoka Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE/TET). Fungua PDF ya somo lako moja kwa moja.

27MASOMO TOFAUTI
29LINK ZA PDF
2023MTAALA ULIOBORESHWA

Download New Syllabus for Form One, Two, Three and Four (Tanzania). Chagua somo au tumia sehemu ya kutafuta. Orodha hii inajumuisha Mathematics, Computer Science, Biology, Chemistry, Physics, Kiswahili, English na masomo mengine.

Chanzo: PDF zinafunguka kutoka tovuti rasmi ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE). Majina ya Food and Human Nutrition na Kiswahili yana link mbadala kwa sababu yameonekana zaidi ya mara moja kwenye orodha ya TIE.

Orodha ya Mihtasari

Inaonyesha masomo 27 kati ya 27

Je, unahitaji mihtasari ya zamani?

Kwa watumiaji wanaohitaji rejea za mfumo wa zamani, fungua mkusanyiko wa old syllabus.

Angalia OLD SYLLABUS

Chanzo Rasmi cha TIE

Machapisho yote ni mali ya Taasisi ya Elimu Tanzania. Tovuti hii imepanga viungo vya nyaraka kwa urahisi wa walimu na wanafunzi.

Tembelea TIE

Mpangilio wa viungo: JIHUDUMIESCHOOL.COM   |   Nyaraka: Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE)   |   Imekaguliwa: 21 Novemba 2026.
Ukibonyeza link ya PDF, ukurasa mpya utafunguka; utapakua kupitia PDF viewer ya kifaa chako.

No comments:

Post a Comment