Pakua Programu za JIHUDUMIESCHOOL
Karibu kwenye ukurasa wa pamoja wa kupakua programu zetu! Pata mifumo ya matokeo ya wanafunzi, ratiba za shule, mipango ya mitihani, mailing order na programu nyingine. Chagua programu unayohitaji, kisha bonyeza DOWNLOAD NOW.
1. JHS O-LEVEL Results
Rahisisha maandalizi ya matokeo ya shule za sekondari ngazi ya kawaida. Mfumo huu unakusaidia kupanga alama, kufanya uchambuzi na kuandaa ripoti za wanafunzi.
- Kuingiza na kusimamia alama za wanafunzi.
- Kukokotoa madaraja, division na GPA.
- Kuchambua ufaulu wa masomo na muhtasari wa division.
- Kulinganisha matokeo ya CA na mtihani.
- Kuandaa na kuchapisha ripoti za matokeo.
1. JHS O-LEVEL Results
Rahisisha maandalizi ya matokeo ya shule za sekondari ngazi ya kawaida. Mfumo huu unakusaidia kupanga alama, kufanya uchambuzi na kuandaa ripoti za wanafunzi.
- Kuingiza na kusimamia alama za wanafunzi.
- Kukokotoa madaraja, division na GPA.
- Kuchambua ufaulu wa masomo na muhtasari wa division.
- Kulinganisha matokeo ya CA na mtihani.
- Kuandaa na kuchapisha ripoti za matokeo.
2. JHS A-LEVEL RESULTS PRO
Mfumo wa kusimamia matokeo ya kidato cha tano na sita, ulioundwa kusaidia walimu kuandaa matokeo na kufuatilia ufaulu wa wanafunzi kwa urahisi.
- Kusimamia alama na madaraja ya wanafunzi.
- Kuonyesha division na GPA.
- Kutoa muhtasari na uchambuzi wa ufaulu wa masomo.
- Kulinganisha CA na matokeo ya mtihani.
- Kupanga matokeo kwa ufaulu au namba za wanafunzi.
- Kuchapisha ripoti zenye mpangilio unaosomeka vizuri.
3. JHS Primary School Results Manager
Simamia matokeo ya shule ya msingi katika mfumo mmoja. Panga madarasa, masomo na mitihani, ingiza alama, kisha andaa ripoti za darasa husika.
- Kuongeza na kuhariri madarasa na masomo.
- Kutumia templates kulingana na darasa na aina ya mtihani.
- Kupakia alama na kuandaa matokeo ya wanafunzi.
- Kuonyesha wastani, madaraja na nafasi.
- Kuhariri maoni kwenye ripoti.
- Kuchapisha ripoti kwa rangi au nyeusi na nyeupe.
- Mwongozo wa hatua kwa hatua kwa Kiswahili.
4. JHS Exam Planner — Tanzania Exam Planner
Panga ukaaji wa watahiniwa na kuandaa orodha za mahudhurio ya mitihani. Mfumo huu unasaidia maandalizi ya mitihani kwa shule za msingi na sekondari.
- Kuandaa sitting plan ya watahiniwa katika vyumba.
- Kupanga namba za watahiniwa kwa mpangilio wa nyoka.
- Kurekebisha idadi ya watahiniwa kwa kila chumba.
- Kuweka nafasi ya mlango kwenye mpango wa chumba.
- Kuandaa Candidate Attendance List (CAL).
- Kuchapisha sitting plan na CAL kwenye karatasi za A4.
6. JHS eTIMETABLE PRO
Rahisisha kazi ya kuandaa na kusimamia ratiba za shule. eTIMETABLE PRO inakusaidia kutengeneza ratiba, kufanya marekebisho na kuandaa nakala za kuchapisha.
- Kuandaa ratiba za shule.
- Kuhariri na kurekebisha ratiba kulingana na mahitaji.
- Kuchapisha ratiba kwa matumizi ya shule.
- Kuhifadhi na kurejesha backup ya taarifa.
- Sehemu ya leseni na usajili wa programu.
7. JHS Media Player
Furahia video na muziki kwenye kompyuta yako kwa kutumia JHS Media Player, yenye mwonekano wa kisasa na vidhibiti rahisi vya kucheza faili za sauti na video.
- Kucheza faili za sauti na video.
- Kuangalia video katika fullscreen.
- Mwonekano mdogo wa kicheza sauti.
- Kubadilisha themes za programu.
- Menyu za taarifa za programu, mawasiliano na masasisho.
8. JIHUDUMIESCHOOL Android App
Fikia JIHUDUMIESCHOOL kupitia simu yako ya Android. App hii inakupa njia rahisi ya kufungua na kufuatilia maudhui ya JIHUDUMIESCHOOL kupitia mwonekano wa simu.
- Kufikia maudhui ya JIHUDUMIESCHOOL kupitia app.
- Mwonekano wa kisasa wenye utambulisho wa JIHUDUMIESCHOOL.
- Matumizi kwenye simu za Android.
- Chagua programu unayohitaji kwenye orodha hapo juu.
- Bonyeza kitufe chake cha DOWNLOAD NOW.
- Soma maelekezo ya toleo husika, kisha pakua faili inayolingana na kifaa chako.
- Ikiwa faili ni ZIP, lifungue kwa kutumia Extract All kabla ya kuendesha programu.
- Fuata maelekezo yaliyotolewa kusakinisha au kufungua programu.
Kuhusu leseni: Baadhi ya programu zina kipindi cha majaribio na zinahitaji activation baada ya kipindi hicho. Kupakua programu hakumaanishi kupata leseni ya bure ya kudumu. Angalia masharti ya programu husika.
Kabla ya kusasisha: Hifadhi backup ya taarifa zako ikiwa tayari unatumia mfumo.
Msaada, Leseni na Mawasiliano
Unahitaji msaada wa kutumia programu au maelekezo ya kupata leseni? Wasiliana nasi ukitaja jina la programu unayohitaji.
Developer: BARAKA
Simu / WhatsApp:
+255 684 368 709
Email:
itugnabiol@gmail.com
Website:
www.jihudumieschool.com
JIHUDUMIESCHOOL — Teknolojia inayorahisisha kazi zako.


No comments:
Post a Comment