Kuchagua tahasusi (combination) sahihi ya Kidato cha Tano ni hatua muhimu sana kwa
mwanafunzi anayemaliza Elimu ya Sekondari ya Chini (Kidato cha Nne), kwani huweka msingi wa taaluma na kazi yake ya baadaye.Katika makala hii, tunakuletea orodha kamili ya makundi yote tisa (9) ya tahasusi nchini Tanzania kwa mwaka 2026
01: Tahasusi za Sayansi ya Jamii (Social Science Combinations)
Tahasusi hizi zinalenga zaidi masuala ya jamii, sheria, utawala, na binadamu.
HGK (History, Geography, Kiswahili)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Archeology (Uchimbaji wa Kale), Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini wa Majengo na Ardhi, Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k . HGL (History, Geography, English Language)
Sosholojia n.k– Nyanja za Kazi: Ualimu, Archeology, Ukalimani, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini wa Majengo na Ardhi, Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, . HGF (History, Geography, French)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Archeology, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini wa Majengo na Ardhi, Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k . HKL (History, Kiswahili, English Language)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Archeology, Sheria, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu . HGE (History, Geography, Economics)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Archeology, Uchumi, Rasilimaliwatu, Uthamini wa Majengo na Ardhi, Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Quantity Surveying, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia, Biashara n.k . HGAr (History, Geography, Arabic)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Archeology, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini wa Majengo na Ardhi, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k . HGCh (History, Geography, Chinese)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Archeology, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini wa Majengo na Ardhi, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k . HGFa (History, Geography, Fasihi ya Kiswahili)
n.k– Nyanja za Kazi: Ualimu, Archeology, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini wa Majengo na Ardhi, Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia . HGLi (History, Geography, Literature in English)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Archeology, Ukalimani, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini wa Majengo na Ardhi, Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k .
02: Tahasusi za Lugha (Language Combinations)
Zinalenga hasa mawasiliano ya kimataifa, ukalimani, uandishi, na diplomasia.
KLF (Kiswahili, English Language, French)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Ukalimani, Archeology, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k . KLAr (Kiswahili, English Language, Arabic)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Ukalimani, Archeology, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Utawala, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k . KLCh (Kiswahili, English Language, Chinese)
Sosholojia n.k– Nyanja za Kazi: Ualimu, Ukalimani, Archeology, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini wa Majengo na Ardhi, Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, . KArCh (Kiswahili, Arabic, Chinese)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Ukalimani, Archeology, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu . KArF (Kiswahili, Arabic, French)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Ukalimani, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu . LFAr (English Language, French, Arabic)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Ukalimani, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Utawala, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k . LFCh (English Language, French, Chinese)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Ukalimani, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k . FArCh (French, Arabic, Chinese)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Ukalimani, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k . HLF (History, English Language, French)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Ukalimani, Archeology, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k . HLAr (History, English Language, Arabic)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Ukalimani, Archeology, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Utawala, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k . BuLF (Business, English Language, French)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Biashara, Ukalimani, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Utawala, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k . FLE (French, English Language, Economics)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Uchumi, Ukalimani, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Utawala, Quantity Surveying, Biashara, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k . HLCh (History, English Language, Chinese)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Ukalimani, Archeology, Sheria, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k .
03: Tahasusi za Masomo ya Biashara (Business Studies Combinations)
Zinalenga masuala ya fedha, uchumi, uhasibu, na ujasiriamali.
EBuAc (Economics, Business Studies, Accountancy)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Uchumi, Biashara, Uhasibu, Ugavi, Mipango, Uandishi wa Habari, Uhusiano (Public Relations), Rasilimaliwatu, Uthamini wa Majengo na Ardhi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Benki na Fedha (Banking and Finance) . EGM (Economics, Geography, Mathematics)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Uchumi, Uhasibu, Upimaji Ardhi, Urubani, Usanifu Majengo, Ukadiriaji Majenzi (Quantity Surveying), Ugavi, Mipango, Archeology, Uandishi wa Habari, Uhusiano, Rasilimaliwatu, Uthamini wa Ardhi, Ukutubi, Banking and Finance . ECsM (Economics, Computer Science, Mathematics)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Uchumi, TEHAMA, Uhasibu, Upimaji Ardhi, Ukadiriaji Majenzi, Usanifu Majengo, Ugavi, Mipango, Rasilimaliwatu, Uthamini wa Ardhi, Ukutubi, Banking and Finance . BuAcCs (Business Studies, Accountancy, Computer Science)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Biashara, Uchumi, TEHAMA, Uhasibu, Ugavi, Mipango, Archeology, Uandishi wa Habari, Uhusiano, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Banking and Finance . BuAcM (Business Studies, Accountancy, Mathematics)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Biashara, Uchumi, Uhasibu, Ugavi, Mipango, Uandishi wa Habari, Uhusiano, Rasilimaliwatu, Uthamini wa Ardhi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu . EBuI (Economics, Business Studies, Islamic Knowledge)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Uchumi, Biashara, Uhasibu, Ugavi, Mipango, Uandishi wa Habari, Uhusiano, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Banking and Finance . EBuD (Economics, Business Studies, Divinity)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Uchumi, Biashara, Uhasibu, Ugavi, Mipango, Uandishi wa Habari, Uhusiano, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Banking and Finance . MEBu (Mathematics, Economics, Business Studies)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Uchumi, Biashara, Uhasibu, Ugavi, Mipango, Uthamini wa Majengo na Ardhi . BuEL (Business Studies, Economics, English Language)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Uchumi, Biashara, Uhasibu, Ugavi, Mipango, Ukalimani, Rasilimaliwatu, Uthamini wa Ardhi, Banking and Finance . BuEChi (Business Studies, Economics, Chinese)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Uchumi, Biashara, Uhasibu, Ugavi, Mipango, Ukalimani, Rasilimaliwatu, Uthamini wa Ardhi, Banking and Finance . BuEAr (Business Studies, Economics, Arabic)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Uchumi, Biashara, Uhasibu, Ugavi, Mipango, Ukalimani, Rasilimaliwatu, Uthamini wa Ardhi, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia, Banking and Finance n.k . BuEF (Business Studies, Economics, French)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Uchumi, Biashara, Uhasibu, Ugavi, Mipango, Ukalimani, Rasilimaliwatu, Uthamini wa Ardhi, Banking and Finance .
04: Tahasusi za Sayansi (Science Combinations)
Zinalenga udaktari, uhandisi, kilimo, afya, na teknolojia.
PCM (Physics, Chemistry, Mathematics)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Uhandisi, Ufamasia, Urubani, Naodha, Uchumi, Uhasibu, Upimaji Ardhi, Usanifu Majengo, Ukadiriaji Majenzi, Ugavi, Mipango, Uthamini wa Ardhi . PCB (Physics, Chemistry, Biology)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Uhandisi, Udaktari, Uuguzi, Ufamasia, Teknolojia ya Maabara, Urubani, Naodha, Upimaji Ardhi, Usanifu Majengo, Ukadiriaji Majenzi, Ugavi, Mipango, Uthamini wa Ardhi . PGM (Physics, Geography, Mathematics)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Uhandisi, Urubani, Naodha, Jiolojia, Unajimu, Utabiri wa Hali ya Hewa, Uchumi, Uhasibu, Upimaji Ardhi, Usanifu Majengo, Ukadiriaji Majenzi, Ugavi, Mipango, Uthamini wa Ardhi . PMCs (Physics, Mathematics, Computer Science)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Uhandisi, Urubani, Naodha, Jiolojia, TEHAMA, Utabiri wa Hali ya Hewa, Uchumi, Uhasibu, Upimaji Ardhi, Usanifu Majengo, Ukadiriaji Majenzi, Ugavi, Mipango, Uthamini wa Ardhi . CBA (Chemistry, Biology, Agriculture)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Kilimo, Uhandisi, Udaktari wa Mifugo, Teknolojia ya Maabara . CBN (Chemistry, Biology, Food and Human Nutrition)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Afya, Teknolojia ya Maabara, Lishe (Nutrition) . CBG (Chemistry, Biology, Geography)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Teknolojia ya Maabara, Sayansi ya Aqua na Teknolojia ya Uvuvi, Usanifu Majengo, Ukadiriaji Majenzi . ABE (Agriculture, Biology, Economics)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Kilimo, Teknolojia ya Maabara, Sayansi ya Aqua na Teknolojia ya Uvuvi, Usanifu Majengo, Ukadiriaji Majenzi .
05: Tahasusi za Muziki (Music Combinations)
MuArL (Music, Arabic, English Language)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Muziki, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k . FaLMu (Fasihi ya Kiswahili, English Language, Music)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Muziki, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k . FLMu (French, English Language, Music)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Muziki, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k . KLMu (Kiswahili, English Language, Music)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Muziki, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu . LChMu (English Language, Chinese, Music)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Muziki, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k .
06: Tahasusi za Michezo (Sports Combinations)
BNS (Biology, Food and Human Nutrition, Sports)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Michezo, Afya, Lishe, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k . SArL (Sports, Arabic, English Language)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Michezo, Ukocha, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k . FaLS (Fasihi ya Kiswahili, English Language, Sports)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Michezo, Ukocha, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k . FLS (French, English Language, Sports)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Michezo, Ukocha, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k . KLS (Kiswahili, English Language, Sports)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Michezo, Ukocha, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k . LChS (English Language, Chinese, Sports)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Michezo, Ukocha, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k .
07: Tahasusi za Sanaa (Arts Combinations)
KLT (Kiswahili, English Language, Theatre Arts)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Uigizaji, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k . KFT (Kiswahili, French, Theatre Arts)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Uigizaji, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k . FaLT (Fasihi ya Kiswahili, English Language, Theatre Arts)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Uigizaji, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k . KLiT (Kiswahili, Literature in English, Theatre Arts)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Uigizaji, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k . KLFi (Kiswahili, English Language, Fine Art)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Uchoraji, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k . KTeFi (Kiswahili, Textile and Garment Construction, Fine Art)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Uchoraji, Ushoni, Ubunifu wa Mavazi, Uandishi wa Habari, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k . Na tahasusi nyingine za Sanaa na Uchoraji kama vile KFFi, FaLFi, KLiFi, LTeFi, ArTeFi, ChiTeFi.
08: Tahasusi za Dini (Religious Combinations)
IHG (Islamic Knowledge, History, Geography)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Archeology, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia, Falsafa n.k . IHAr (Islamic Knowledge, History, Arabic)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Archeology, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia, Falsafa n.k . IHL (Islamic Knowledge, History, English Language)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Archeology, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia, Falsafa n.k . DHG (Divinity, History, Geography)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Archeology, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia, Falsafa n.k . DHL (Divinity, History, English Language)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Archeology, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia, Falsafa n.k . Pamoja na nyingine kama IHK, DHK, DKL.
09: Tahasusi za Utalii (Tourism Combinations)
GTK (Geography, Tourism, Kiswahili)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k . GTL (Geography, Tourism, English Language)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari, Ukalimani, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k . GTF (Geography, Tourism, French)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari, Ukalimani, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k . GTAr (Geography, Tourism, Arabic)
– Nyanja za Kazi: Ualimu, Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari, Ukalimani, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k . GTChi (Geography, Tourism, Chinese)
Uandishi wa Habari, Ukalimani, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k– Nyanja za Kazi: Ualimu, Utalii, Archeology, . HTK, HTL, HTF, HTA, HTC, TLF na zinginezo zinalenga sekta ya utalii, ukarimu, na diplomasia kwa ujumla
.
Hitimisho
Unapochagua tahasusi ya kusoma Kidato cha Tano, hakikisha unazingatia:
Ndoto na malengo yako ya baadaye (kazi unayotamani kuifanya ukihitimu chuo).
Ufaulu wako katika masomo ya Kidato cha Nne hasa yale ya msingi kwenye tahasusi husika.
Vigezo vya TCU na NACTVET kwa kozi unazotaka kuzisomea hapo baadaye.
Kama una swali au unahitaji ufafanuzi zaidi kuhusu tahasusi fulani,acha maoni yako hapa chini kwenye sehemu ya comments!


No comments:
Post a Comment