Tuesday, 31 March 2026

MFUMO WA MATOKEO NA RIPOTI NA JINSI YAKUTUMIA MFUMO HUSIKA

Mfumo wa kisasa wa kusimamia matokeo ya wanafunzi wa O Level New Syllabus sasa unapatikana rasmi kupitia JHS Results Manager System. Mfumo huu umetengenezwa mahsusi kusaidia shule za Tanzania kurahisisha uingizaji wa matokeo, upangaji wa madaraja, na utoaji wa ripoti kwa haraka na kwa usahihi mkubwa.

Kwa kutumia mfumo huu, walimu na shule wanaweza kuacha kazi ngumu za kupanga matokeo kwa mkono na badala yake kutumia teknolojia inayofanya kazi zote kiotomatiki.

INGIA KWENYE MFUMO HAPA


✅ Kwa Nini Utumie Mfumo Huu?

Mfumo umeundwa kulingana na mahitaji halisi ya shule za Tanzania na unakuja na faida zifuatazo:

100% Free Always – Mfumo ni bure kabisa kwa shule zote
Automated Grading & Rankings – Mfumo unapanga madaraja na nafasi moja kwa moja
Tanzanian NECTA Compliant – Unafuata mfumo rasmi wa NECTA
Instant PDF Report Cards – Tengeneza ripoti za wanafunzi kwa sekunde chache
English & Kiswahili Supported – Tumia lugha unayoipendelea
Offline Excel Integration – Inaweza kufanya kazi pamoja na Excel
Behavior & Teacher Remarks – Ongeza maoni ya mwalimu na tabia za mwanafunzi

INGIA KWENYE MFUMO HAPA

MFANO WA RIPOTI ZA MFUMO




🚀 Mfumo Unafaa Kwa Nani?

Mfumo huu umeandaliwa kwa ajili ya:

  • Shule za Secondary (O Level)
  • Academic Masters
  • Walimu Wakuu
  • Walimu wa Masomo
  • Wasimamizi wa Mitihani
MFANO WA MATOKEO YA MFUMO WETU



📝 Jinsi ya Kuanza Kutumia Mfumo

Ili kutumia mfumo:

1️⃣ Fungua ukurasa wa mfumo
2️⃣ Bonyeza Create Account
3️⃣ Sajili taarifa za shule yako
4️⃣ Tengeneza password yako
5️⃣ Ingia (Login) kuanza kutumia mfumo

👉 Watumiaji wapya lazima wafanye REGISTER kwanza kabla ya kuingia kwenye mfumo.

INGIA KWENYE MFUMO HAPA

DOWNLOAD MFANO WA RIPOTI NA MATOKEO HAPA CHINI

MFANO WA RIPOTI

MFANO WA MATOKEO


💡 Mfumo Unafanya Nini Kiotomatiki?

Baada ya kuingiza alama za wanafunzi, mfumo utaweza:

  • Kukokotoa Grade automatically
  • Kupanga Position za darasa
  • Kuandaa Report Forms
  • Kuhifadhi rekodi za matokeo
  • Kuchapisha PDF tayari kwa shule

Hakuna tena makosa ya kuhesabu kwa mkono.

INGIA KWENYE MFUMO HAPA

ANGALIA NAMNA YAKUTUMIA MFUMO: PART 1




🌍 Mfumo wa Kisasa kwa Shule za Tanzania

JHS Results Manager umeundwa kwa kuzingatia mazingira ya shule za Tanzania — rahisi kutumia, haraka, na salama. Hata shule zenye vifaa vya kawaida zinaweza kuutumia bila changamoto.

INGIA KWENYE MFUMO HAPA

ANGALIA NAMNA YAKUTUMIA MFUMO: PART 2

PART 3


🔐 Anza Sasa

✅ Sajili shule yako leo
✅ Tengeneza akaunti
✅ Anza kusimamia matokeo kitaalamu

👉 Register sasa na uanze kutumia mfumo BURE.


Support: +255 684 368 709




No comments:

Post a Comment