Unatumiaje bando lako? Je unajua unaweza kujiongezea kipato kwa muda wako wa ziada kwa kujihusisha na kazi za mitandaoni? Kazi hizi zinakufaa popote ulipo, muda wowote! OPERA NEW HUB inakupa fursa ya kujiongezea kipato kwa kuchapisha makala mitandaoni. Soma zaidi hapa
Heri ya Mwezi Mpya!
Tunafuraha kukutangazia kuendelea kwa challenge za kusisimua kwa mwezi wa Novemba, 2025.
Hii ni nafasi nyingine ya kuthamini kazi nzuri ya waandishi na kila mmoja akiwa na nafasi ya kujishindia TSh. 105,000 kwenye challenge hizi mbili.
Challenge ya 1: Waandishi Wenye Machapisho Mengi Zaidi
Katika changamoto hii, unachotakiwa kufanya ni kuchapisha makala mengi iwezekanavyo ili uwe na nafasi ya kushinda tuzo ya juu ya TSh. 80,000.
Masharti:
1.Chapisha angalau makala 60 mwezi wa Novemba
2.Wastani wa maneno >=250 (angalau maneno 250)
3.Angalau mibofyo (clicks) >= 50,000
Bonasi/Zawadi:
-Nafasi ya 1-3: TSh. 80,000
-Nafasi ya 4-10: TSh. 60,000
-Nafasi ya 11-20: TSh. 40,000
-Nafasi ya 21-50: TSh. 20,000
-Nafasi ya 51-100: TSh. 10,000
Challenge ya 2: Consistency Challenge
Kwenye challenge hii, unachohitajika kufanya ni kusajili akaunti mwezi huu wa Novemba; na kuchapisha angalau makala mawili tu kila siku, kwa angalau siku ishirini kwa mwezi.
Masharti:
Chapisha kwa angalau siku 20 kwa mwezi
Chapisha angalau makala 45 kwa mwezi
Pata angalau mibofyo (clicks) >= 6000
Bonasi/Zawadi:
Nafasi 1: TSh. 25,000
Nafasi 2–3: TSh. 20,000
Nafasi 4–10: TSh. 15,000
Nafasi 11–60: TSh. 5,000
Kumbuka, unavyochapisha zaidi, ndivyo nafasi yako inavyozidi kuwa nzuri!
Vigezo vya uchapishaji kwenye Opera News Hub:
1.Uhalisia (Originality)
2.Utaalamu (Professionalism)
3.Mtiririko mzuri wa hoja (Clear logic)
4.Mpangilio mzuri wa maandishi (Good layout)
5.Picha za ubora wa juu (High-definition and good-quality graphics)
Kila la heri!
Huna akaunti? JISAJILI HAPA: >>> LINK <<<
Jiunge Grupu la Whatsapp kwa mafunzo na usaidizi: https://chat.whatsapp.com/HFF1zrKNEsa7W0U8L5rHDP


No comments:
Post a Comment