Tunakuletea mifumo ya kuchakata matokeo na ripoti kwa shule za sekondari na msingi
mifumo yetu ni raisi kutumia na haihitaji utaalamu wowote, hata kama huna utaalamu wa computer mifumo yetu ni rahisi sana kuitumia.
KATIKA MFUMO UTAWEZA KUPATA
1. Summary za ufaulu na kufeli kwa Divisions (F & M) na performance ya kila somo moja.
2. Utapata kuona best 10 na Last 10 candidates kwa kila mtihani
3. Utapata CLASS GPA, AVERAGE, GRADE.
4. Ikiwa utajaza majaribio zaidi ya moja utapata continuous assessment ya hadi test 4
5. Utaweza kuprinti matokeo bila shida
6. Utaweza kufanya tahmini ya wanafunzi wote kitabia
7. Utaweza kuprinti ripoti kwa kila mwanafunzi AU kutuma ripoti kwa SMS moja kwa moja kwa wazazi
8. Utaweza kuprinti matokeo yaliyopangwa kiustadi na mzuri sana!
PIATUNAMIFUMO YA MICHANGO SHULENI NA MIFUMO MIZURI YA RATIBA ISIYOUMIZA KICHWA.PIA TUNATENGENEZA RATIBA ZA SHULE YOYOTE.
ANGALIA VIDEO NAMNA MFUMO ULIVYO
PICHA ZA MFUMO
HOMEPAGE
CHARACTER ASSESSMENT PAGE
RESULTS VIEW
SUMMARY VIEW
TO GET THE TEMPLATE CLICK HERE
No comments:
Post a Comment