Kiswahili – Kitabu cha Mwanafunzi Kidato cha Pili
Mada: Kiswahili
Mwaka: 2024
Mwandishi: Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE)
Mchapishaji: Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE)
Lugha: Kiswahili
Asili: Tanzania
Ngazi ya Elimu: Sekondari – Kidato cha Pili
Kidato: Kidato cha Pili
Kitabu hiki cha Kiswahili Kidato cha Pili kimeandaliwa kwa mujibu wa
mtaala wa 2023 wa TIE. Kinafundisha ufahamu wa kusoma, sarufi,
uandishi, fasihi simulizi, matumizi ya lugha, na stadi za mawasiliano.
Lengo lake ni kuwajengea wanafunzi uwezo wa kutumia Kiswahili kwa
ufasaha katika mazingira ya kila siku na katika masomo mengine.
Kitabu hiki Hakipatikani kwa sasa

No comments:
Post a Comment