Imechapishwa: 06 Julai 2026
Matokeo ya Kidato cha Sita 2026 Yametoka Rasmi
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) 2026 leo, tarehe 06 Julai 2026. Watahiniwa wote waliofanya mtihani sasa wanaweza kuangalia matokeo yao kupitia tovuti rasmi ya NECTA.
Matokeo haya ni muhimu kwa wanafunzi wanaojiandaa kuomba udahili wa vyuo vikuu, mikopo ya elimu ya juu (HESLB), pamoja na kozi mbalimbali za elimu ya juu.
Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Kidato cha Sita 2026
Fuata hatua hizi rahisi:
✅ Hatua ya 1: Tembelea ukurasa rasmi wa matokeo wa NECTA.
👉 https://www.necta.go.tz/results/view/acsee
✅ Hatua ya 2: Chagua mwaka 2026.
✅ Hatua ya 3: Tafuta shule yako au namba yako ya mtihani.
✅ Hatua ya 4: Bonyeza jina la shule ili kuona matokeo ya watahiniwa wote wa shule hiyo.
Link Muhimu
🔗 Matokeo ya Kidato cha Sita 2026 (ACSEE):
https://www.necta.go.tz/results/view/acsee
🔗 Tovuti Rasmi ya NECTA:
https://www.necta.go.tz/
Umeshapata Matokeo Yako?
Tuandikie kwenye sehemu ya maoni:
- Umesoma shule gani?
- Umepata Division gani?
- Unatarajia kujiunga na chuo gani?
Tunawatakia kila la heri wahitimu wote wa Kidato cha Sita 2026 katika hatua inayofuata ya masomo na maisha yao.
#MatokeoKidatoChaSita2026 #ACSEE2026 #NECTA #NECTAResults #FormSixResults #Matokeo2026 #ElimuTanzania #JihudumieSchool
No comments:
Post a Comment