Elimu ya Dini ya Kiislamu – Kidato cha Pili
Mada: Elimu ya Dini ya Kiislamu (EDK)
Mwaka: 2024
Waandishi: Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE)
Mchapishaji: Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE)
Lugha: Kiswahili
Nchi: Tanzania
Kiwango cha Elimu: Sekondari ya Kidato (O-Level)
Darasa: Kidato cha Pili
Kitabu cha Elimu ya Dini ya Kiislamu Kidato cha Pili kimeandaliwa kwa mujibu wa mtaala wa 2023.
Kinafundisha masomo muhimu ya Kiislamu ikiwemo Aqida, Fiqh, Akhlaq, Hadithi, Qur’an, na historia ya Uislamu.
Lengo kuu ni kumjenga mwanafunzi kiimani, kimaadili, na kivitendo katika kufuata misingi ya dini ya Kiislamu.
Kitabu hiki HAKIPATIKANI kwa sasa kwa kupakua au kusoma moja kwa moja kupitia maktaba ya mtandaoni ya TIE.

No comments:
Post a Comment