Breaking

Sunday, 19 October 2025

NAFASI ZA KAZI | MWALIMU DARAJA LA III C - KIINGEREZA (ENGLISH) | 230+ Positions

MDAs & LGAs
235 Positions
Application Period: 18/10/2025 - 01/11/2025
Duties and Responsibilities

i.Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;

ii.Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;

iii.Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;

iv.Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;

v.Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;

vi.Kutoa ushauri wa Kitaalamu na kutaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;

vii.Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za Shule;

viii.Kazi nyingine atakazopangwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule;

 

Qualifications

Kuajiriwa mwenye Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye somo la kufundishia la Kiingereza au Shahada isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo la kufundishia la Kiingereza  pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu  ya Juu vinavyotambulika na Serikali. 

To Apply Click Here

No comments:

Post a Comment